Waamuzi 9:32
Sasa, basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now therefore up by night, thou and the people that is with thee, and lie in wait in the field:
In Context
Cross References
Joshua 8:3Basi Yoshua na jeshi lote wakainuka kushambulia Ai. Akachagua watu mashujaa elfu thelathini walio bora miongoni mwa wapiganaji wake, akawapeleka wakati wa usiku
Job 24:14Wakati mwanga wa mchana unapotoweka, muuaji huinuka 2 naye huwaua maskini na mhitaji; 2 wakati wa usiku hunyemelea kama mwizi. 1
Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Romans 3:15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu; 2