Zaburi 83:2
Tazama watesi wako wanafanya fujo, 2 jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For, lo, thine enemies make a tumult: and they that hate thee have lifted up the head.
In Context
1Ee Mungu, usinyamaze kimya, 2 usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. 1
3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, 2 wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda. 1
Cross References
2 Kings 19:28Kwa sababu unaghadhibika dhidi yangu, 2 na ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.’
Psalms 74:4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, 2 wanaweka bendera zao kama alama. 1
Psalms 75:4Kwa wale wenye majivuno ninasema, 2 ‘Msijisifu tena,’ 2 kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu. 1
Psalms 93:3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1
Isaiah 17:12Lo! Ghadhabu ya mataifa mengi, 2 wanaghadhibika kama bahari iliyochafuka! 1 Lo! Makelele ya mataifa 2 wanavuma kama ngurumo za maji mengi! 1
Isaiah 37:29Kwa sababu unaghadhibika na ufidhuli dhidi yangu, 2 na kwa sababu ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.