Proverbs 11:21
Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, 2 bali wenye haki watakuwa huru. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe 2 ndivyo alivyo mwanamke mzuri ambaye hana busara. 1
Cross References
Exodus 23:2“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu,
Job 36:17Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu; 2 hukumu na haki vimekukamata. 1
Psalms 112:1Msifuni Bwana. 1 Heri mtu yule amchaye Bwana, 2 mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 1
Proverbs 12:21Hakuna dhara linalompata mwenye haki, 2 bali waovu wana taabu nyingi. 1
Proverbs 16:5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. 2 Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 1
Jeremiah 32:39Nitawapa moyo mmoja na kutenda pamoja, ili kwamba waniche daima kwa mema yao wenyewe na kwa mema ya watoto wao baada yao.