Waamuzi 1:22
Basi nyumba ya Yosefu wakashambulia Betheli, naye Bwana alikuwa pamoja nao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the house of Joseph, they also went up against Bethel: and the LORD was with them.
In Context
23Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),
Cross References
Numbers 1:10kutoka wana wa Yosefu: 2 kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; 2 kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; 1
Joshua 14:4kwa kuwa wana wa Yosefu walikuwa makabila mawili; Manase na Efraimu. Walawi hawakupata mgawo wa ardhi, bali walipewa miji tu kwa ajili ya kuishi, pamoja na maeneo ya malisho kwa ajili ya makundi yao ya kondoo, mbuzi na ngʼombe wao.
Joshua 16:2Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi,
2 Kings 18:7Naye Bwana alikuwa pamoja naye, akafanikiwa katika kila alichokifanya. Aliasi dhidi ya mfalme wa Ashuru, wala hakumtumikia.
Revelation 7:8kutoka kabila la Zabuloni 12,000, 1 kutoka kabila la Yosefu 12,000, 1 na kutoka kabila la Benyamini 12,000. 1 Umati Mkubwa Wa Watu Kutoka Mataifa Yote