bible.software › Waamuzi › Waamuzi 1 › Waamuzi 1:28
Waamuzi 1:28
Israeli walipopata nguvu, wakawatia Wakanaani katika kazi ya kulazimishwa, lakini kamwe hawakuwafukuza watoke kabisa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, when Israel was strong, that they put the Canaanites to tribute, and did not utterly drive them out.
In Context
27Lakini Manase hawakuwafukuza watu wa Beth-Shani na vijiji vyake, au watu wa Taanaki na vijiji vyake, au watu wa Dori na vijiji vyake, au watu wa Ibleamu na vijiji vyake, au watu wa Megido na vijiji vyake, lakini Wakanaani waliazimu kuishi katika nchi ile.
29Wala Efraimu hawakuwafukuza kabisa Wakanaani walioishi Gezeri, bali Wakanaani waliendelea kuishi humo miongoni mwao.
Read all of Waamuzi 1
Cross References
Genesis 9:26Pia akasema, 1 “Abarikiwe Bwana, Mungu wa Shemu! 2 Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. 1
Joshua 17:13Hata hivyo, Waisraeli walivyoendelea kupata nguvu waliwatumikisha Wakanaani na kuwatia katika kazi za kulazimishwa, lakini hawakuwafukuza kabisa. 1 Kabila La Yosefu Lakataa
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 1:28