Waamuzi 10:18
Viongozi wa watu wa Gileadi wakaambiana wao kwa wao, “Yeyote yule atakayeanzisha mashambulizi dhidi ya Waamoni atakuwa kiongozi wa wote wakaao Gileadi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 1:1Baada ya kifo cha Yoshua, Waisraeli wakamuuliza Bwana, “Ni nani atakayetangulia kupanda mbele yetu kwa ajili ya kupigana na Wakanaani?”
Judges 11:5viongozi wa Gileadi wakaenda kumchukua Yefta katika nchi ya Tobu.
Judges 12:7Yefta akawa mwamuzi wa Waisraeli kwa muda wa miaka sita. Basi Yefta akafa, akazikwa katika mmojawapo wa miji ya Gileadi. 1 Ibzani, Eloni Na Abdoni
Isaiah 3:1Tazama sasa, Bwana, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 yu karibu kuwaondolea Yerusalemu na Yuda 2 upatikanaji wa mahitaji na misaada, 1 upatikanaji wote wa chakula na tegemeo lote la maji, 2