The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 3 › Isaya 3:1

Isaya 3:1

Tazama sasa, Bwana, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 yu karibu kuwaondolea Yerusalemu na Yuda 2 upatikanaji wa mahitaji na misaada, 1 upatikanaji wote wa chakula na tegemeo lote la maji, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For, behold, the Lord, the LORD of hosts, doth take away from Jerusalem and from Judah the stay and the staff, the whole stay of bread, and the whole stay of water,

In Context

2shujaa na mtu wa vita, 1 mwamuzi na nabii, 2 mwaguzi na mzee, 1

Read all of Isaya 3

Cross References

2 Kings 25:3Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.

Isaiah 1:24Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mwenye Nguvu wa Israeli, asema hivi: 1 “Lo, nitapata faraja kutoka kwa adui zangu 2 na kujilipizia kisasi juu ya watesi wangu. 1

Isaiah 5:13Kwa hiyo watu wangu watakwenda uhamishoni 2 kwa sababu ya kukosa ufahamu, 1 watu wao wenye vyeo watakufa kwa njaa 2 na watu wao wengi watakauka kwa kiu. 1

Isaiah 51:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1

Jeremiah 38:9“Mfalme bwana wangu, watu hawa wamefanya uovu kwa yote waliomtendea nabii Yeremia. Wamemtupa ndani ya kisima, mahali ambapo atakufa kwa njaa wakati ambapo hakuna chakula popote katika mji.”

Ezekiel 14:13“Mwanadamu, kama nchi itanitenda dhambi kwa kutokuwa waaminifu nami nikinyoosha mkono wangu dhidi yake kukatilia mbali upatikanaji wake wa chakula na kuipelekea njaa na kuua watu wake na wanyama wao,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 3:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaya 3Isaya 3:2 →