The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 16 › Waamuzi 16:3

Waamuzi 16:3

Samsoni akalala mpaka usiku wa manane. Akaondoka katikati ya usiku, akashika milango ya lango la mji pamoja na miimo yake miwili, akaingʼoa, makomeo yake na vyote. Akaviweka mabegani mwake na kuvipeleka mpaka kwenye kilele cha mlima ule unaokabili Hebroni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Samson lay till midnight, and arose at midnight, and took the doors of the gate of the city, and the two posts, and went away with them, bar and all, and put them upon his shoulders, and carried them up to the top of an hill that is before Hebron.

In Context

2Watu wa Gaza wakaambiwa, “Samsoni amekuja huku!” Hivyo wakapazingira mahali pale nao wakamvizia usiku kucha, penye lango la mji. Wakanyamaza kimya usiku kucha, wakisema, “Tumvizie hadi mapambazuko, ndipo tutamuua.”

4Baada ya hayo akampenda mwanamke mmoja katika Bonde la Soreki aliyeitwa Delila.

Read all of Waamuzi 16

Cross References

Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1

Acts 2:24Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu akamwondolea uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana yeye kushikiliwa na nguvu za mauti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 16:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 16:2Waamuzi 16Waamuzi 16:4 →