The Bible Software
bible.softwareWaamuziWaamuzi 16 › Waamuzi 16:4

Waamuzi 16:4

Baada ya hayo akampenda mwanamke mmoja katika Bonde la Soreki aliyeitwa Delila.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it came to pass afterward, that he loved a woman in the valley of Sorek, whose name was Delilah.

In Context

3Samsoni akalala mpaka usiku wa manane. Akaondoka katikati ya usiku, akashika milango ya lango la mji pamoja na miimo yake miwili, akaingʼoa, makomeo yake na vyote. Akaviweka mabegani mwake na kuvipeleka mpaka kwenye kilele cha mlima ule unaokabili Hebroni.

5Viongozi wa Wafilisti wakamwendea yule mwanamke na kumwambia, “Umbembeleze ili upate kujua siri za nguvu zake zilizo nyingi na jinsi tutakavyoweza kumshinda ili tuweze kumfunga na kumtiisha. Nasi kila mmoja wetu tutakupa shekeli 1,100 za fedha.” + 16:5 Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha.

Read all of Waamuzi 16

Cross References

Nehemiah 13:26Je, Solomoni hakutenda dhambi kwa sababu ya wanawake wa namna hiyo? Miongoni mwa mataifa mengi hapakuwepo mfalme kama yeye. Alipendwa na Mungu wake. Naye Mungu alimweka kuwa mfalme juu ya Israeli yote, lakini hata yeye, wanawake wa mataifa mengine walimfanya atende dhambi.

Proverbs 23:27kwa maana kahaba ni shimo refu 2 na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. 1

Proverbs 27:22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, 2 ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, 2 hutauondoa upumbavu wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 16:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 16:3Waamuzi 16Waamuzi 16:5 →