Waamuzi 16:5
Viongozi wa Wafilisti wakamwendea yule mwanamke na kumwambia, “Umbembeleze ili upate kujua siri za nguvu zake zilizo nyingi na jinsi tutakavyoweza kumshinda ili tuweze kumfunga na kumtiisha. Nasi kila mmoja wetu tutakupa shekeli 1,100 za fedha.” + 16:5 Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Baada ya hayo akampenda mwanamke mmoja katika Bonde la Soreki aliyeitwa Delila.
Cross References
Genesis 33:16Hivyo siku hiyo Esau akashika njia akarudi Seiri.
Joshua 13:3kutoka Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea kaskazini kwenye eneo la Ekroni, ambayo yote ilihesabika kama ya Wakanaani (maeneo yale matano ya watawala wa Kifilisti, ambayo ni Gaza, Ashdodi, Ashkeloni, Gathi na Ekroni: ndiyo nchi ya Waavi);
Judges 14:15Siku ya saba, wakamwambia mkewe Samsoni, “Mbembeleze mumeo ili atueleze hicho kitendawili, la sivyo tutakuchoma moto wewe na wa nyumba ya baba yako. Je, mmetualika ili mpate kutunyangʼanya kile tulicho nacho?”
1 Samuel 29:6Basi Akishi akamwita Daudi na kumwambia, “Kama vile Bwana aishivyo, wewe umekuwa mtu mwaminifu, nami ningependa utumike pamoja nami katika jeshi. Tangu siku ile uliyofika kwangu hadi sasa, sijaona kosa lolote kwako, lakini hao watawala hawakukubali.
Proverbs 5:3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba 2 hudondoza asali, 1 na maneno ya kinywa chake 2 ni laini kuliko mafuta; 1
Proverbs 7:21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; 2 alimshawishi kwa maneno yake laini. 1