Waamuzi 18:19
Wakamjibu, “Nyamaza kimya! Weka mkono wako juu ya kinywa chako na ufuatane nasi, uwe baba yetu na kuhani wetu. Si ni afadhali utumikie kabila na ukoo katika Israeli kama kuhani kuliko kumtumikia mtu mmoja na watu wa nyumbani mwake?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 17:10Ndipo Mika akamwambia, “Ishi pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu, nami nitakupa shekeli kumi + 17:10 Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 115 za fedha. za fedha, nguo na chakula.”
2 Kings 8:8mfalme akamwambia Hazaeli. “Chukua zawadi na uende kumlaki huyo mtu wa Mungu. Muulize Bwana kupitia yeye, kwamba, ‘Je, nitapona ugonjwa huu?’ ”
Job 21:5Niangalieni mkastaajabu; 2 mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu. 1
Job 40:4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? 2 Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 1
Micah 7:16Mataifa yataona na kuaibika, 2 waliondolewa nguvu zao zote. 1 Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao 2 na masikio yao yatakuwa na uziwi. 1