Waamuzi 18:20
Yule kuhani akafurahi. Akachukua ile naivera, zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani, na sanamu ya kuchonga, naye akaenda pamoja na wale watu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 17:10Ndipo Mika akamwambia, “Ishi pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu, nami nitakupa shekeli kumi + 17:10 Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 115 za fedha. za fedha, nguo na chakula.”
Isaiah 56:11Ni mbwa wenye tamaa kubwa, 2 kamwe hawatosheki. 1 Wao ni wachungaji waliopungukiwa na ufahamu; 2 wote wamegeukia njia yao wenyewe, 2 kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe. 1
Hosea 4:3Kwa sababu hii nchi huomboleza, 2 wote waishio ndani mwake wanadhoofika, 1 wanyama wa kondeni, ndege wa angani 2 na samaki wa baharini wanakufa. 1
Philippians 3:19Mwisho wa watu hao ni maangamizi, Mungu wao ni tumbo, na utukufu wao ni aibu, na mawazo yao yamo katika mambo ya dunia.
2 Peter 2:15Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa mshahara wa uovu.