Micah 7:16
Mataifa yataona na kuaibika, 2 waliondolewa nguvu zao zote. 1 Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao 2 na masikio yao yatakuwa na uziwi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15“Kama siku zile mlipotoka Misri, 2 nitawaonyesha maajabu yangu.” 1
Cross References
Job 29:9wakuu wakaacha kuzungumza 2 na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao; 1
Psalms 126:2Vinywa vyetu vilijaa kicheko, 2 ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. 1 Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, 2 “ Bwana amewatendea mambo makuu.” 1
Isaiah 52:15hivyo atayashangaza mataifa mengi, 2 nao wafalme watafunga vinywa vyao kwa sababu yake. 1 Kwa kuwa yale ambayo hawakuambiwa, watayaona, 2 nayo yale wasiyoyasikia, watayafahamu.
Ezekiel 38:23Nami hivyo ndivyo nitakavyoonyesha ukuu wangu na utakatifu wangu, nami nitajijulisha mbele ya macho ya mataifa mengi. Ndipo watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.’
Micah 5:8Mabaki ya Yakobo yatakuwa miongoni mwa mataifa, 2 katikati ya mataifa mengi, 1 kama simba miongoni mwa wanyama wa msituni, 2 kama mwana simba miongoni 2 mwa makundi ya kondoo, 1 ambaye anaumiza vibaya na kuwararua 2 kila anapopita katikati yao, 2 wala hakuna awezaye kuokoa. 1
Zechariah 12:9Katika siku hiyo nitatoka kuangamiza mataifa yote yatakayoshambulia Yerusalemu. 1 Kumwombolezea Yule Aliyechomwa Mkuki