bible.software › Judges › Judges 18 › Judges 18:21
Judges 18:21
Ndipo wakageuka na kuondoka wakiwatanguliza mbele watoto wao wadogo, wanyama wao wa kufugwa na mali zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So they turned and departed, and put the little ones and the cattle and the carriage before them.
In Context
20Yule kuhani akafurahi. Akachukua ile naivera, zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani, na sanamu ya kuchonga, naye akaenda pamoja na wale watu.
22Walipokuwa wamesafiri umbali kidogo toka nyumbani kwa Mika, watu walioishi karibu na Mika wakaitwa wakakusanyika pamoja, nao wakawafikia Wadani.
Read all of Judges 18
Cross References
Isaiah 10:28Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1
This Verse In Other Editions
Study Judges 18:21