The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 19 › Waamuzi 19:25

Waamuzi 19:25

Lakini wale watu hawakumsikia. Hivyo yule mtu akamtoa yule suria wake nje kwa wale watu, nao wakambaka na kumnajisi usiku ule kucha mpaka asubuhi. Kulipoanza kupambazuka wakamwachia aende.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the men would not hearken to him: so the man took his concubine, and brought her forth unto them; and they knew her, and abused her all the night until the morning: and when the day began to spring, they let her go.

In Context

24Tazameni, hapa yupo binti yangu ambaye ni bikira na suria wa huyu mtu. Nitawatoleeni hawa sasa, mkawatwae kwa nguvu na kuwafanyia lolote mtakalo. Lakini kwa mtu huyu msimfanyie jambo ovu hivyo.”

26Alfajiri yule mwanamke akarudi kwenye ile nyumba bwana wake alikokuwa, akaanguka chini mlangoni, akalala pale hata kulipopambazuka.

Read all of Waamuzi 19

Cross References

Genesis 4:1Adamu akakutana kimwili na mkewe Eva, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Eva akasema, “Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume.”

Hosea 7:4Wote ni wazinzi, 2 wanawaka kama tanuru 1 ambayo moto wake mwokaji hana haja ya kuuchochea 2 kuanzia kukanda unga 2 hadi umekwisha kuumuka. 1

Hosea 10:9“Tangu siku za Gibea, mmetenda dhambi, ee Israeli, 2 huko ndiko mlikobaki. 1 Je, vita havikuwapata 2 watenda mabaya huko Gibea? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 19:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 19:24Waamuzi 19Waamuzi 19:26 →