Hosea 10:9
“Tangu siku za Gibea, mmetenda dhambi, ee Israeli, 2 huko ndiko mlikobaki. 1 Je, vita havikuwapata 2 watenda mabaya huko Gibea? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Judges 19:22Walipokuwa wakijiburudisha, watu waovu wa mji huo, wakaizingira ile nyumba. Wakagonga mlango na kusema na yule mzee mwenye nyumba, “Mtoe nje yule mtu aliyeingia kwako, tupate kumlawiti.”
Judges 20:13Basi watoeni hao watu waovu kabisa walioko Gibea, ili tupate kuwaua na kuondoa uovu katika Israeli.” Lakini Wabenyamini hawakuwasikia ndugu zao, Waisraeli.
Judges 20:21Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile.
Hosea 9:9Wamezama sana katika rushwa, 2 kama katika siku za Gibea. 1 Mungu atakumbuka uovu wao 2 na kuwaadhibu kwa ajili ya dhambi zao. 1
Matthew 23:31Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.