Judges 20:21
Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 23:9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi.
2 Chronicles 28:10Nanyi sasa mnakusudia kuwafanya wanaume na wanawake wa Yuda na Yerusalemu watumwa wenu. Lakini ninyi je, hamna pia hatia ya dhambi mliyotenda dhidi ya Bwana Mungu wenu?
Psalms 73:18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, 2 unawaangusha chini kwa uharibifu. 1
Ecclesiastes 9:1Kwa hiyo niliyatafakari yote haya nikafikia uamuzi kwamba waadilifu na wenye hekima na yale wanayoyafanya yako mikononi mwa Mungu, lakini hakuna mtu ajuaye kama anangojewa na upendo au chuki.
Hosea 10:9“Tangu siku za Gibea, mmetenda dhambi, ee Israeli, 2 huko ndiko mlikobaki. 1 Je, vita havikuwapata 2 watenda mabaya huko Gibea? 1