The Bible Software
bible.softwareJudgesJudges 3 › Judges 3:13

Judges 3:13

Egloni akawataka Waamoni na Waamaleki waungane naye, akaja kuishambulia Israeli, nao wakatwaa Mji wa Mitende + 3:13 Yaani Yeriko.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he gathered unto him the children of Ammon and Amalek, and went and smote Israel, and possessed the city of palm trees.

In Context

12Waisraeli wakafanya maovu mbele za Bwana tena, kwa kuwa walifanya maovu hayo Bwana akamtia nguvu Egloni mfalme wa Moabu dhidi ya Israeli.

14Waisraeli wakawa chini ya Egloni mfalme wa Moabu kwa muda wa miaka kumi na minane.

Read all of Judges 3

Cross References

Deuteronomy 34:3Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.

Judges 5:14Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; 2 Benyamini akiwa miongoni 2 mwa watu waliokufuata. 1 Kutoka Makiri wakashuka viongozi, 2 na kutoka Zabuloni wale washikao 2 fimbo ya jemadari. 1

Judges 10:9Waamoni nao wakavuka Yordani ili kupigana na Yuda, Benyamini na nyumba ya Efraimu, nayo nyumba ya Israeli ikawa katika taabu kubwa.

Psalms 83:6mahema ya Edomu na Waishmaeli, 2 ya Wamoabu na Wahagari, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Judges 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Judges 3:12Judges 3Judges 3:14 →