Waamuzi 5:14
Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; 2 Benyamini akiwa miongoni 2 mwa watu waliokufuata. 1 Kutoka Makiri wakashuka viongozi, 2 na kutoka Zabuloni wale washikao 2 fimbo ya jemadari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
Exodus 17:8Waamaleki wakaja na kuwashambulia Waisraeli huko Refidimu.
Judges 3:13Egloni akawataka Waamoni na Waamaleki waungane naye, akaja kuishambulia Israeli, nao wakatwaa Mji wa Mitende + 3:13 Yaani Yeriko.
Judges 4:5Debora alikuwa akiketi chini ya Mtende wa Debora uliokuwa kati ya Rama na Betheli katika nchi ya vilima ya Efraimu, nao Waisraeli wakaja kwake ili awaamue.
Judges 4:14Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo Bwana amemtia Sisera mikononi mwako. Je, Bwana hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000.