Waamuzi 4:16
Lakini Baraka akafuata magari pamoja na jeshi mpaka Haroshethi-Hagoyimu. Jeshi lote la Sisera likaanguka kwa upanga, wala hakuna hata mtu mmoja aliyesalia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 10:10Bwana akawafadhaisha mbele ya Waisraeli, nao wakawashinda kwa ushindi mkuu huko Gibeoni. Israeli wakawafukuza kuelekea njia iendayo Beth-Horoni wakiwaua mpaka kufikia njia iendayo Azeka na Makeda.
Joshua 11:8naye Bwana akawatia mikononi mwa Israeli. Wakawashinda na kuwafukuza hadi Sidoni Kuu na kuwafikisha Misrefoth-Maimu, hadi Bonde la Mispa upande wa mashariki, hadi pakawa hakuna yeyote aliyebaki.
Psalms 83:10ambao waliangamia huko Endori 2 na wakawa kama takataka juu ya nchi. 1
Isaiah 43:17aliyeyakokota magari ya vita na farasi, 2 jeshi pamoja na askari wa msaada, 1 nao wakalala huko, wala hawatainuka tena kamwe, 2 wakakomeshwa, na wakazimika kama utambi: 1
James 2:13Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu. 1 Imani Na Matendo