Waamuzi 5:11
juu ya sauti za waimbaji 2 mahali pa kunyweshea maji. 1 Wanasimulia matendo ya haki ya Bwana, 2 matendo ya haki ya mashujaa wake 2 katika Israeli. 1 “Ndipo watu wa Bwana 2 walipoteremka malangoni pa mji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 26:20Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaki wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki, + 26:20 Eseki maana yake ni Ugomvi. kwa sababu waligombana naye.
Deuteronomy 22:24utawachukua wote wawili kwenye lango la mji na kuwapiga kwa mawe mpaka wafe; yule msichana kwa kuwa alikuwa mjini na hakupiga kelele kuomba msaada, na yule mwanaume kwa sababu amemtenda jeuri mke wa mtu mwingine. Lazima mwondoe uovu katikati yenu.
Judges 5:8Walipochagua miungu migeni, 2 vita vilikuja katika malango ya mji, 1 hapakuonekana ngao wala mkuki 2 miongoni mwa mashujaa 40,000 katika Israeli. 1
1 Samuel 12:7Sasa basi, simameni hapa, kwa sababu nitakabiliana nanyi kwa ushahidi mbele za Bwana wa matendo yote ya haki yaliyofanywa na Bwana kwenu na kwa baba zenu.
Psalms 71:15Kinywa changu kitasimulia haki yako, 2 wokovu wako mchana kutwa, 2 ingawa sifahamu kipimo chake. 1
Isaiah 12:3Kwa furaha mtachota maji 2 kutoka visima vya wokovu.