Judges 5:13
“Ndipo mabaki ya watu 2 wakashuka dhidi ya wenye nguvu, 1 watu wa Bwana, 2 wakashuka dhidi ya mashujaa wenye nguvu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 75:7Bali Mungu ndiye ahukumuye: 2 Humshusha huyu na kumkweza mwingine. 1
Ezekiel 17:24Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”
Romans 8:37Lakini katika mambo haya yote tunashinda, naam na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
Revelation 3:9Nitawafanya wale wa sinagogi la Shetani, wale ambao husema kuwa ni Wayahudi lakini sio, bali ni waongo, nitawafanya waje wapige magoti miguuni pako, na wakiri ya kwamba nimekupenda.