The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 5 › Waamuzi 5:23

Waamuzi 5:23

Malaika wa Bwana akasema, ‘Merozi alaaniwe. 2 Walaaniwe watu wake kwa uchungu, 1 kwa kuwa hawakuja kumsaidia Bwana, 2 kumsaidia Bwana dhidi ya hao wenye nguvu.’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Curse ye Meroz, said the angel of the LORD, curse ye bitterly the inhabitants thereof; because they came not to the help of the LORD, to the help of the LORD against the mighty.

In Context

22Ndipo kwato za farasi zikafanya mshindo: 2 farasi wake wenye nguvu 2 huenda mbio kwa kurukaruka. 1

24“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, 2 mkewe Heberi, Mkeni, 1 abarikiwe kuliko wanawake wote 2 waishio kwenye mahema. 1

Read all of Waamuzi 5

Cross References

Judges 4:6Akatuma wamwite Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali na kumwambia, “ Bwana, Mungu wa Israeli, anakuagiza: ‘Nenda, chukua wanaume 10,000 toka Naftali na Zabuloni, mwende Mlima Tabori.

Judges 8:5Akawaambia watu wa Sukothi, “Tafadhali lipatieni jeshi langu mikate, kwa maana wamechoka, nami ningali ninawafuatia Zeba na Salmuna, wafalme wa Midiani.”

Judges 8:8Kutoka hapo alikwea mpaka Penieli na kutoa ombi lile lile, lakini nao watu wa Penieli wakamjibu kama watu wa Sukothi walivyokuwa wamemjibu.

Judges 21:8Ndipo wakasema, “Ni kabila lipi la Israeli ambalo halikufika mbele za Bwana huko Mispa?” Wakagundua kuwa hakuna hata mmoja aliyetoka Yabeshi-Gileadi aliyefika kambini kwa ajili ya kusanyiko la mkutano.

1 Samuel 17:47Wale wote waliokusanyika hapa watajua kuwa Bwana haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; kwa kuwa vita ni vya Bwana, naye atawatia wote mikononi mwetu.”

1 Samuel 25:28Tafadhali samehe kosa la mtumishi wako, kwa kuwa Bwana kwa hakika ataifanya imara nyumba ya ufalme kwa bwana wangu, kwa sababu anapigana vita vya Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 5:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 5:22Waamuzi 5Waamuzi 5:24 →