Waamuzi 5:24
“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote, 2 mkewe Heberi, Mkeni, 1 abarikiwe kuliko wanawake wote 2 waishio kwenye mahema. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Aliomba maji, naye akampa maziwa; 2 kwenye bakuli la heshima 2 akamletea maziwa mgando. 1
Cross References
Genesis 14:19Naye akambariki Abramu, akisema, 1 “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, 2 Muumba wa mbingu na nchi. 1
Proverbs 31:31Mpe thawabu anayostahili, 2 nazo kazi zake na zimletee sifa kwenye lango la mji.
Luke 1:42akapaza sauti kwa nguvu akasema, “Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa.