Waamuzi 5:28
“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia; 2 nyuma ya dirisha alilia, akasema, 1 ‘Mbona gari lake linachelewa kufika? 2 Mbona vishindo vya magari yake 2 vimechelewa?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Wanawake wenye busara 2 kuliko wengine wote wakamjibu; 2 naam, husema moyoni mwake, 1
Cross References
Judges 4:15Bwana akamfadhaisha Sisera na magari yake yote, pamoja na jeshi lake lote kwa upanga mbele ya Baraka, naye Sisera akaliacha gari lake na kukimbia kwa miguu.
Proverbs 7:6Kwenye dirisha la nyumba yangu 2 nilitazama nje kupitia upenyo 2 kwenye mwimo wa dirisha. 1
Song of Solomon 8:14Njoo, mpenzi wangu, 2 uwe kama swala 1 au kama ayala kijana 2 juu ya milima iliyojaa vikolezo.