Waamuzi 5:4
“Ee Bwana, ulipotoka katika Seiri, 2 ulipopita katika mashamba ya Edomu, 1 nchi ilitetemeka, mbingu nazo zikamwaga, 2 naam, mawingu yakamwaga maji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Milima ilitetemeka mbele za Bwana, 2 hata ule wa Sinai, 2 mbele za Bwana, 2 Mungu wa Israeli. 1
Cross References
Deuteronomy 33:2Alisema: 1 “ Bwana alikuja kutoka Mlima Sinai, 2 akachomoza kama jua juu yao 2 kutoka Mlima Seiri, 2 akaangaza kutoka Mlima Parani. 1 Alikuja pamoja na watakatifu makumi elfu 2 kutoka kusini, 2 kutoka materemko ya mlima wake. 1
Job 9:6Aitikisa dunia kutoka mahali pake 2 na kuzifanya nguzo zake zitetemeke. 1
Psalms 68:7Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako, 2 ulipopita nyikani, 1
Psalms 77:17Mawingu yalimwaga maji, 2 mbingu zikatoa ngurumo kwa radi, 2 mishale yako ikametameta huku na huko. 1
Micah 1:4Milima inayeyuka chini yake 2 na mabonde yanagawanyika 1 kama nta mbele ya moto, 2 kama maji yatiririkayo kasi 2 kwenye mteremko. 1