bible.software › Waamuzi › Waamuzi 8 › Waamuzi 8:16
Waamuzi 8:16
Akawachukua hao viongozi wa mji na kuwafundisha watu wa Sukothi somo kwa kuwaadhibu kwa miiba na michongoma ya nyikani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took the elders of the city, and thorns of the wilderness and briers, and with them he taught the men of Succoth.
In Context
15Ndipo Gideoni akaja na kuwaambia watu wa Sukothi, “Tazama, hapa wapo Zeba na Salmuna mlionisimanga kwa ajili yao mkisema, ‘Je, mikono ya Zeba na Salmuna tayari mnayo sasa ili tuweze kulipatia jeshi lako mikate?’ ”
17Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.
Read all of Waamuzi 8
Cross References
Ezra 2:6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2 2,812 1
Proverbs 19:29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka 2 na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 8:16