Proverbs 19:29
Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka 2 na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Judgments are prepared for scorners, and stripes for the back of fools.
In Context
28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu 2 na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. 1
Cross References
Proverbs 1:22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1
Proverbs 3:34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, 2 lakini huwapa neema wale wanyenyekevu. 1
Proverbs 9:12Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; 2 kama wewe ni mtu wa mzaha, 2 wewe mwenyewe ndiwe utateseka.” 1
Proverbs 17:10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua 2 kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 1
Proverbs 26:3Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda, 2 nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu! 1
Isaiah 29:20Wakatili watatoweka na wenye kudhihaki watatokomea, 2 nao wote wenye jicho la uovu watakatiliwa mbali, 1