The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 1 › Maombolezo 1:22

Maombolezo 1:22

“Uovu wao wote na uje mbele zako; 2 uwashughulikie wao 1 kama vile ulivyonishughulikia mimi 2 kwa sababu ya dhambi zangu zote. 1 Kulia kwangu kwa uchungu ni kwingi 2 na moyo wangu umedhoofika.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let all their wickedness come before thee; and do unto them, as thou hast done unto me for all my transgressions: for my sighs are many, and my heart is faint.

In Context

21“Watu wamesikia ninavyolia kwa uchungu, 2 lakini hakuna yeyote wa kunifariji. 1 Adui zangu wote wamesikia juu ya dhiki yangu, 2 wanafurahia lile ulilolitenda. 1 Naomba uilete siku uliyoitangaza 2 ili wawe kama mimi. 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Nehemiah 4:4Ee Mungu wetu, utusikie, kwa kuwa tumedharauliwa. Warudishie matukano yao kwenye vichwa vyao wenyewe. Uwatoe ili wawe nyara katika nchi ya waliowateka.

Psalms 109:14Maovu ya baba zake na yakumbukwe 2 mbele za Bwana, 1 dhambi ya mama yake 2 isifutwe kamwe. 1

Isaiah 13:7Kwa sababu ya hili, mikono yote italegea, 2 moyo wa kila mtu utayeyuka. 1

Jeremiah 10:25Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa 2 wasiokujua wewe, 2 juu ya mataifa wasioliitia jina lako. 1 Kwa kuwa wamemwangamiza Yakobo; 2 wamemwangamiza kabisa 2 na kuiharibu nchi yake.

Jeremiah 30:16“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa; 2 adui zako wote watakwenda uhamishoni. 1 Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara; 2 wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka. 1

Lamentations 1:13“Kutoka juu alipeleka moto, 2 akaushusha katika mifupa yangu. 1 Aliitandia wavu miguu yangu 2 na akanirudisha nyuma. 1 Akanifanya mkiwa, 2 na mdhaifu mchana kutwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:21Maombolezo 1