Lamentations 1:21
“Watu wamesikia ninavyolia kwa uchungu, 2 lakini hakuna yeyote wa kunifariji. 1 Adui zangu wote wamesikia juu ya dhiki yangu, 2 wanafurahia lile ulilolitenda. 1 Naomba uilete siku uliyoitangaza 2 ili wawe kama mimi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1
Psalms 38:16Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie, 2 wala wasijitukuze juu yangu 2 mguu wangu unapoteleza.” 1
Isaiah 13:1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 1
Isaiah 51:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1
Jeremiah 30:16“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa; 2 adui zako wote watakwenda uhamishoni. 1 Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara; 2 wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka. 1
Jeremiah 48:27Je, Israeli hakuwa kitu chako cha kudhihakiwa? 2 Je, alikamatwa miongoni mwa wezi, 1 kiasi cha kutikisa kichwa chako kwa dharau 2 kila mara unapozungumza juu yake? 1