The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:7

Isaiah 13:7

Kwa sababu ya hili, mikono yote italegea, 2 moyo wa kila mtu utayeyuka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore shall all hands be faint, and every man’s heart shall melt:

In Context

6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

8Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

Isaiah 37:27Watu wa miji hiyo wameishiwa nguvu, 2 wanavunjika mioyo na kuaibishwa. 1 Wao ni kama mimea katika shamba, 2 kama machipukizi mororo ya kijani, 1 kama majani yachipuayo juu ya paa la nyumba, 2 ambayo hukauka kabla ya kukua. 1

Jeremiah 50:43Mfalme wa Babeli amesikia habari kuwahusu, 2 nayo mikono yake imelegea. 1 Uchungu umemshika, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Ezekiel 21:7Nao watakapokuuliza, ‘Kwa nini unalia kwa uchungu?’ Utasema hivi, ‘Kwa sababu ya habari zinazokuja. Kila moyo utayeyuka na kila mkono utalegea, kila roho itazimia na kila goti litalegea kama maji.’ Habari hizo zinakuja! Hakika zitatokea, asema Bwana Mwenyezi.”

Nahum 1:6Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? 2 Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? 1 Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, 2 na miamba inapasuka mbele zake. 1

Nahum 2:11Liko wapi sasa pango la simba, 2 mahali ambapo waliwalisha watoto wao, 1 ambapo simba dume na simba jike walikwenda 2 na ambapo wana simba walikwenda 2 bila kuogopa chochote? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:6Isaiah 13Isaiah 13:8 →