Maombolezo 1:6
Fahari yote imeondoka 2 kutoka kwa Binti Sayuni. 1 Wakuu wake wako kama ayala 2 ambaye hapati malisho, 1 katika udhaifu wamekimbia 2 mbele ya anayewasaka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:36“ ‘Kwa habari ya wenzenu wale watakaobaki, nitaifanya mioyo yao kuwa na hofu kuu katika nchi za adui zao, kiasi kwamba sauti ya jani linalopeperushwa na upepo itawafanya wakimbie. Watakimbia kana kwamba wanakimbia upanga, nao wataanguka, ingawa hakuna anayewafukuza.
Deuteronomy 32:30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, 2 au wawili kufukuza elfu kumi, 1 kama si kwamba Mwamba wao amewauza, 2 kama si kwamba Bwana amewaacha? 1
2 Samuel 4:11Je, ni mara ngapi zaidi wakati watu waovu wamemuua mtu asiye na hatia akiwa ndani ya nyumba yake mwenyewe na kwenye kitanda chake mwenyewe? Je, sasa nisidai damu yake mikononi mwenu na kuwaondoa duniani?”
Psalms 44:9Lakini sasa umetukataa na kutudhili, 2 wala huendi tena na jeshi letu. 1
Psalms 50:2Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, 2 Mungu anaangaza. 1
Psalms 132:12kama wanao watashika Agano langu 2 na sheria ninazowafundisha, 1 ndipo wana wao watarithi 2 kiti chako cha enzi milele na milele.” 1