The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 14 › Isaya 14:12

Isaya 14:12

Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, 2 ewe nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! 1 Umetupwa chini duniani, 2 wewe uliyepata kuangusha mataifa! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!

In Context

11Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, 2 pamoja na kelele ya vinubi vyako, 1 mafunza yametanda chini yako, 2 na minyoo imekufunika. 1

13Ulisema moyoni mwako, 2 “Nitapanda juu hadi mbinguni, 1 nitakiinua kiti changu cha enzi 2 juu ya nyota za Mungu, 1 nitaketi nimetawazwa 2 juu ya mlima wa kusanyiko, 2 kwenye vimo vya juu sana vya Mlima Mtakatifu. 1

Read all of Isaya 14

Cross References

Isaiah 13:10Nyota za mbinguni na makundi ya nyota 2 havitatoa mwanga wake. 1 Jua linalochomoza litatiwa giza 2 na mwezi hautatoa nuru yake. 1

Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1

Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1

Luke 10:18Yesu akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama umeme wa radi.

2 Peter 2:4Kwa maana, kama Mungu hakuwasamehe malaika walipotenda dhambi, bali aliwatupa kuzimu + 2:4 Kuzimu hapa linalotokana na neno Tartarus la Kiyunani; maana yake ni kule ndani sana katika mahali pa mateso kwa watu waliopotea. katika vifungo vya giza wakae humo mpaka ije hukumu;

Revelation 8:10Malaika wa tatu akaipiga tarumbeta yake, na nyota kubwa iliyokuwa ikiwaka kama taa ikaanguka toka angani, ikaangukia theluthi ya mito na chemchemi za maji.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 14:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 14:11Isaya 14Isaya 14:13 →