The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 2 › Maombolezo 2:19

Maombolezo 2:19

Inuka, lia usiku, 2 zamu za usiku zianzapo; 1 mimina moyo wako kama maji 2 mbele za Bwana. 1 Mwinulie yeye mikono yako 2 kwa ajili ya maisha ya watoto wako, 1 ambao wanazimia kwa njaa 2 kwenye kila mwanzo wa barabara. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Arise, cry out in the night: in the beginning of the watches pour out thine heart like water before the face of the Lord: lift up thy hands toward him for the life of thy young children, that faint for hunger in the top of every street.

In Context

18Mioyo ya watu 2 inamlilia Bwana. 1 Ee ukuta wa Binti Sayuni, 2 machozi yako na yatiririke kama mto 2 usiku na mchana; 1 usijipe nafuu, 2 macho yako yasipumzike. 1

20“Tazama, Ee Bwana, ufikirie: 2 Ni nani ambaye umepata 2 kumtendea namna hii? 1 Je, wanawake wakule wazao wao, 2 watoto waliowalea? 1 Je, kuhani na nabii auawe 2 mahali patakatifu pa Bwana? 1

Read all of Maombolezo 2

Cross References

1 Samuel 1:15Hana akajibu, “Si hivyo bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye huzuni kubwa. Mimi sijanywa mvinyo wala kileo, nilikuwa ninaumimina moyo wangu kwa Bwana.

Job 3:24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; 2 kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 1

Psalms 42:8Mchana Bwana huelekeza upendo wake, 2 usiku wimbo wake uko nami: 2 maombi kwa Mungu wa uzima wangu. 1

Psalms 63:4Nitakusifu siku zote za maisha yangu, 2 na kwa jina lako nitainua mikono yangu. 1

Psalms 119:147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; 2 nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1

Psalms 141:2Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; 2 kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 2:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 2:18Maombolezo 2Maombolezo 2:20 →