The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 63 › Isaiah 63:16

Isaiah 63:16

Lakini wewe ni Baba yetu, 2 ingawa Abrahamu hatufahamu sisi 2 wala Israeli hatutambui; 1 wewe, Ee Bwana, ndiwe Baba yetu, 2 Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Doubtless thou art our father, though Abraham be ignorant of us, and Israel acknowledge us not: thou, O LORD, art our father, our redeemer; thy name is from everlasting.

In Context

15Tazama chini kutoka mbinguni ukaone 2 kutoka kiti chako cha enzi 2 kilichoinuliwa juu, kitakatifu na kitukufu. 1 Uko wapi wivu wako na uweza wako? 2 Umetuzuilia wema wako na huruma zako. 1

17Ee Bwana, kwa nini unatuacha twende mbali na njia zako, 2 na kuifanya mioyo yetu migumu hata hatukukuheshimu? 1 Rudi kwa ajili ya watumishi wako, 2 yale makabila ambayo ni urithi wako. 1

Read all of Isaiah 63

Cross References

Exodus 4:22Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,

Deuteronomy 32:6Je, hii ndiyo njia ya kumlipa Bwana, 2 enyi watu wajinga na wasio na busara? 1 Je, yeye siye Baba yenu, Muumba wenu, 2 aliyewafanya ninyi na kuwaumba? 1

Job 14:21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; 2 kama wakidharauliwa, yeye haoni. 1

Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 44:6“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mfalme wa Israeli na Mkombozi, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1

Isaiah 54:5Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake, 1 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ni Mkombozi wako, 2 yeye anaitwa Mungu wa dunia yote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 63:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 63:15Isaiah 63Isaiah 63:17 →