The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 2 › Lamentations 2:5

Lamentations 2:5

Bwana ni kama adui; 2 amemmeza Israeli. 1 Amemeza majumba yake yote ya kifalme 2 na kuangamiza ngome zake. 1 Ameongeza huzuni na maombolezo 2 kwa ajili ya Binti Yuda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Lord was as an enemy: he hath swallowed up Israel, he hath swallowed up all her palaces: he hath destroyed his strong holds, and hath increased in the daughter of Judah mourning and lamentation.

In Context

4Ameupinda upinde wake kama adui, 2 mkono wake wa kuume uko tayari. 1 Kama vile adui amewachinja 2 wote waliokuwa wanapendeza jicho, 1 amemwaga ghadhabu yake kama moto 2 juu ya hema la Binti Sayuni. 1

6Ameharibu maskani yake kama bustani, 2 ameharibu mahali pake pa mkutano. 1 Bwana amemfanya Sayuni kusahau 2 sikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake; 1 katika hasira yake kali amewadharau 2 mfalme na kuhani. 1

Read all of Lamentations 2

Cross References

2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.

Job 19:11Hasira yake imewaka juu yangu; 2 amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. 1

Isaiah 29:2Hata hivyo nitauzunguka Arieli kwa jeshi, 2 utalia na kuomboleza, 1 utakuwa kwangu kama mahali 2 pa kuwashia moto madhabahuni. 1

Jeremiah 9:17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Fikiri sasa! Waite wanawake waombolezao waje, 2 waite wale walio na ustadi kuliko wote. 1

Jeremiah 30:14Wale walioungana nawe wote wamekusahau, 2 hawajali chochote kukuhusu wewe. 1 Nimekupiga kama vile adui angelifanya, 2 na kukuadhibu kama vile mtu mkatili angelifanya, 1 kwa sababu hatia yako ni kubwa mno 2 na dhambi zako ni nyingi sana. 1

Lamentations 2:2Bila huruma Bwana ameyameza 2 makao yote ya Yakobo; 1 katika ghadhabu yake amebomoa 2 ngome za Binti Yuda. 1 Ameuangusha ufalme wake na wakuu wake 2 chini kwa aibu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 2:4Lamentations 2Lamentations 2:6 →