The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 2 › Lamentations 2:6

Lamentations 2:6

Ameharibu maskani yake kama bustani, 2 ameharibu mahali pake pa mkutano. 1 Bwana amemfanya Sayuni kusahau 2 sikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake; 1 katika hasira yake kali amewadharau 2 mfalme na kuhani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he hath violently taken away his tabernacle, as if it were of a garden: he hath destroyed his places of the assembly: the LORD hath caused the solemn feasts and sabbaths to be forgotten in Zion, and hath despised in the indignation of his anger the king and the priest.

In Context

5Bwana ni kama adui; 2 amemmeza Israeli. 1 Amemeza majumba yake yote ya kifalme 2 na kuangamiza ngome zake. 1 Ameongeza huzuni na maombolezo 2 kwa ajili ya Binti Yuda. 1

7Bwana amekataa madhabahu yake 2 na kuacha mahali patakatifu pake. 1 Amemkabidhi adui kuta 2 za majumba yake ya kifalme; 1 wamepiga kelele katika nyumba ya Bwana 2 kama katika siku ya sikukuu iliyoamriwa. 1

Read all of Lamentations 2

Cross References

Psalms 74:7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, 2 wakayanajisi makao ya Jina lako. 1

Psalms 89:40Umebomoa kuta zake zote, 2 na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu. 1

Isaiah 1:13Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! 2 Uvumba wenu ni chukizo kwangu. 1 Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu. 1

Isaiah 5:6Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu, 2 halitakatiwa matawi wala kulimwa, 1 nayo michongoma na miiba itamea huko, 2 nitaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.” 1

Isaiah 63:18Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu, 2 lakini sasa adui zetu wamepakanyaga mahali patakatifu pako. 1

Jeremiah 42:18Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Kama vile hasira yangu na ghadhabu yangu ilivyomwagwa juu ya wale walioishi Yerusalemu, ndivyo ghadhabu yangu itakavyomwagwa juu yenu mtakapokwenda Misri. Mtakuwa kitu cha kulaania na cha kutisha, cha kulaumia na cha kushutumia, nanyi kamwe hamtaona mahali hapa tena.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 2:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 2:5Lamentations 2Lamentations 2:7 →