Lamentations 2:7
Bwana amekataa madhabahu yake 2 na kuacha mahali patakatifu pake. 1 Amemkabidhi adui kuta 2 za majumba yake ya kifalme; 1 wamepiga kelele katika nyumba ya Bwana 2 kama katika siku ya sikukuu iliyoamriwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:31Nitaifanya miji yenu kuwa magofu, na kuharibu mahali patakatifu penu pa kuabudia, nami sitapendezwa na harufu nzuri ya sadaka zenu.
2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.
Psalms 72:4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu 2 na atawaokoa watoto wa wahitaji, 2 ataponda mdhalimu. 1
Psalms 74:4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, 2 wanaweka bendera zao kama alama. 1
Isaiah 64:9Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi, 2 usizikumbuke dhambi zetu milele. 1 Ee Bwana, utuangalie, twakuomba, 2 kwa kuwa sisi sote tu watu wako. 1
Jeremiah 4:26Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa, 2 miji yake yote ilikuwa magofu 1 mbele za Bwana, 2 mbele ya hasira yake kali. 1