Maombolezo 3:22
Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, 2 kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is of the LORD’S mercies that we are not consumed, because his compassions fail not.
In Context
21Hata hivyo najikumbusha neno hili 2 na kwa hiyo ninalo tumaini. 1
23Ni mpya kila asubuhi, 2 uaminifu wako ni mkuu. 1
Cross References
2 Samuel 24:14Daudi akamjibu Gadi, “Nitataabika sana. Afadhali tuangukie mikononi mwa Bwana, kwa maana rehema zake ni kuu, lakini usiniache nianguke mikononi mwa wanadamu.”
Ezra 9:13“Yale yaliyotupata ni matokeo ya matendo yetu mabaya, pia hatia yetu kubwa. Hata hivyo, wewe Mungu wetu, umetuadhibu kidogo kuliko dhambi zetu zilivyostahili na umetupa mabaki kama haya.
Psalms 69:17Usimfiche mtumishi wako uso wako, 2 uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida. 1
Psalms 78:38Hata hivyo alikuwa na huruma, 2 alisamehe maovu yao 2 na hakuwaangamiza. 1 Mara kwa mara alizuia hasira yake, 2 wala hakuchochea ghadhabu yake yote. 1
Psalms 106:45kwa ajili yao akakumbuka agano lake, 2 na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake. 1
Ezekiel 20:8“ ‘Lakini waliniasi na hawakunisikiliza, hawakuondolea mbali sanamu za machukizo ambazo walikuwa wamezikazia macho, wala kuondolea mbali sanamu za Misri. Ndipo nikasema, nitawamwagia ghadhabu yangu na kutimiza hasira yangu dhidi yao huko Misri.