Lamentations 3:21
Hata hivyo najikumbusha neno hili 2 na kwa hiyo ninalo tumaini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This I recall to my mind, therefore have I hope.
In Context
20Ninayakumbuka vyema, 2 nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 1
22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, 2 kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. 1
Cross References
Psalms 119:81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, 2 lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1
Lamentations 3:24Nimeiambia nafsi yangu, “ Bwana ni fungu langu, 2 kwa hiyo nitamngojea.” 1