The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 3 › Maombolezo 3:4

Maombolezo 3:4

Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa 2 na ameivunja mifupa yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My flesh and my skin hath he made old; he hath broken my bones.

In Context

3hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu 2 tena na tena, mchana kutwa. 1

5Amenizingira na kunizunguka 2 kwa uchungu na taabu. 1

Read all of Maombolezo 3

Cross References

Job 30:30Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; 2 mifupa yangu inaungua kwa homa. 1

Psalms 31:9Ee Bwana unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida; 2 macho yangu yanafifia kwa huzuni, 2 nafsi yangu na mwili wangu kwa sikitiko. 1

Psalms 38:2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, 2 na mkono wako umenishukia. 1

Psalms 102:3Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, 2 mifupa yangu inaungua kama kaa la moto. 1

Jeremiah 50:17“Israeli ni kundi lililotawanyika 2 ambalo simba wamelifukuzia mbali. 1 Wa kwanza kumla alikuwa mfalme wa Ashuru, 2 wa mwisho kuponda mifupa yake 2 alikuwa Nebukadneza mfalme wa Babeli.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 3:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 3:3Maombolezo 3Maombolezo 3:5 →