Lamentations 3:44
Unajifunika mwenyewe kwa wingu, 2 ili pasiwe na ombi 2 litakaloweza kupenya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast covered thyself with a cloud, that our prayer should not pass through.
In Context
43“Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia; 2 umetuchinja bila huruma. 1
45Umetufanya takataka na uchafu 2 miongoni mwa mataifa. 1
Cross References
Psalms 80:5Umewalisha kwa mkate wa machozi, 2 umewafanya wanywe machozi bakuli tele. 1
Jeremiah 14:11Kisha Bwana akaniambia, “Usiombe kwa ajili ya mafanikio ya watu hawa.
Lamentations 2:1Tazama jinsi Bwana alivyomfunika Binti Sayuni 2 kwa wingu la hasira yake! 1 Ameitupa chini fahari ya Israeli 2 kutoka mbinguni mpaka duniani, 1 hakukumbuka kiti chake cha kuwekea miguu 2 katika siku ya hasira yake. 1
Zechariah 7:13“ ‘Wakati nilipoita, hawakusikiliza, kwa hiyo walipoita, sikusikiliza,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.