Lamentations 3:43
“Umejifunika mwenyewe kwa hasira na kutufuatilia; 2 umetuchinja bila huruma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast covered with anger, and persecuted us: thou hast slain, thou hast not pitied.
In Context
42“Tumetenda dhambi na kuasi 2 nawe hujasamehe. 1
44Unajifunika mwenyewe kwa wingu, 2 ili pasiwe na ombi 2 litakaloweza kupenya. 1
Cross References
Psalms 44:19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, 2 na ukatufunika kwa giza nene. 1
Psalms 83:15wafuatilie kwa tufani yako 2 na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako. 1
Lamentations 2:17Bwana amefanya lile alilolipanga; 2 ametimiza neno lake 2 aliloliamuru siku za kale. 1 Amekuangusha bila huruma, 2 amewaacha adui wakusimange, 2 ametukuza pembe ya adui yako. 1
Lamentations 3:8Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, 2 anakataa kupokea maombi yangu. 1
Ezekiel 7:9Sitawaonea huruma wala sitawarehemu; nitawalipiza sawasawa na matendo yenu na desturi zenu za machukizo miongoni mwenu. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana ambaye huwapiga kwa mapigo.
Ezekiel 9:10Kwa hiyo sitawahurumia wala kuwaachilia lakini nitaleta juu ya vichwa vyao, yale waliyoyatenda.”