Maombolezo 3:50
hadi Bwana atazame chini 2 kutoka mbinguni na kuona. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Till the LORD look down, and behold from heaven.
In Context
49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, 2 bila kupata nafuu, 1
51Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini 2 kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu. 1
Cross References
Psalms 80:15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, 1 mwana uliyemlea 2 kwa ajili yako mwenyewe. 1
Isaiah 62:6Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, 2 hawatanyamaza mchana wala usiku. 1 Ninyi wenye kumwita Bwana, 2 msitulie, 1
Isaiah 64:1Laiti ungelipasua mbingu na kushuka chini, 2 ili milima ingelitetemeka mbele zako! 1
Lamentations 5:1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, 2 tazama, nawe uione aibu yetu. 1