Isaiah 62:6
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, 2 hawatanyamaza mchana wala usiku. 1 Ninyi wenye kumwita Bwana, 2 msitulie, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu 2 na kuufanya uwe sifa ya dunia. 1
Cross References
Genesis 32:26Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.” Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.”
2 Chronicles 8:14Kwa kushika maagizo ya Daudi baba yake, aliweka migawanyo ya makuhani kwa ajili ya kazi zao, nao Walawi kuongoza kusifu na kusaidia makuhani kufuatana na mahitaji ya kila siku. Pia akaweka mabawabu katika migawanyo kwa ajili ya malango mbalimbali, kwa sababu hili ndilo Daudi mtu wa Mungu alilokuwa ameagiza.
Psalms 74:18Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, 2 jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako. 1
Song of Solomon 3:3Walinzi walinikuta 2 walipokuwa wakizunguka mji. 1 Nikawauliza, “Je, mmemwona 2 yule moyo wangu umpendaye?” 1
Isaiah 43:26Tafakari mambo yaliyopita, 2 njoo na tuhojiane, 2 leta shauri lako uweze kupewa haki yako. 1
Isaiah 56:10Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1