The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 53 › Isaiah 53:8

Isaiah 53:8

Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa. 2 Nani awezaye kueleza kuhusu kizazi chake? 1 Kwa maana alikatiliwa mbali na nchi ya walio hai, 2 alipigwa kwa ajili ya makosa ya watu wangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He was taken from prison and from judgment: and who shall declare his generation? for he was cut off out of the land of the living: for the transgression of my people was he stricken.

In Context

7Alionewa na kuteswa, 2 hata hivyo hakufungua kinywa chake; 1 aliongozwa kama mwana-kondoo 2 apelekwaye machinjoni, 1 kama vile kondoo anyamazavyo mbele ya wao wamkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1

9Wakamfanyia kaburi pamoja na waovu, 2 pamoja na matajiri katika kifo chake, 1 ingawa hakutenda jeuri, 2 wala hapakuwa na hila kinywani mwake. 1

Read all of Isaiah 53

Cross References

Psalms 22:12Mafahali wengi wamenizunguka, 2 mafahali wa Bashani wenye nguvu 2 wamenizingira. 1

Isaiah 53:5Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, 2 alichubuliwa kwa ajili ya maovu yetu; 1 adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake, 2 na kwa majeraha yake sisi tumepona. 1

Lamentations 3:54maji yalifunika juu ya kichwa changu, 2 nami nikafikiri nilikuwa karibu 2 kukatiliwa mbali. 1

Matthew 1:1Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu: 1

John 11:49Mmoja wao aliyeitwa Kayafa, ambaye alikuwa kuhani mkuu mwaka huo, akasema, “Ninyi hamjui kitu chochote!

Acts 8:33Katika kufedheheshwa kwake alinyimwa haki yake. 2 Nani awezaye kueleza juu ya kizazi chake? 1 Kwa maana maisha yake yaliondolewa 2 kutoka duniani.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 53:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 53:7Isaiah 53Isaiah 53:9 →