Lamentations 3:59
Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa. 2 Tetea shauri langu! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O LORD, thou hast seen my wrong: judge thou my cause.
In Context
58Ee Bwana, ulichukua shauri langu, 2 ukaukomboa uhai wangu. 1
60Umeona kina cha kisasi chao, 2 mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. 1
Cross References
Psalms 9:4Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu; 2 umeketi kwenye kiti chako cha enzi, 2 ukihukumu kwa haki. 1
Psalms 26:1Ee Bwana, nithibitishe katika haki, 2 maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; 1 nimemtumainia Bwana 2 bila kusitasita. 1
Psalms 35:23Amka, inuka unitetee! 2 Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu. 1
Jeremiah 11:19Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni; mimi sikutambua kwamba walikuwa wamefanya shauri baya dhidi yangu, wakisema, 1 “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; 2 nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, 2 ili jina lake lisikumbukwe tena.” 1
Jeremiah 15:10Ole wangu, mama yangu, kwamba ulinizaa, 2 mtu ambaye ulimwengu wote 2 unashindana na kugombana naye! 1 Sikukopa wala sikukopesha, 2 lakini kila mmoja ananilaani.
Jeremiah 20:7Ee Bwana, umenidanganya, 2 nami nikadanganyika; 1 wewe una nguvu kuniliko, 2 nawe umenishinda. 1 Ninadharauliwa mchana kutwa, 2 kila mmoja ananidhihaki. 1