Maombolezo 3:60
Umeona kina cha kisasi chao, 2 mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast seen all their vengeance and all their imaginations against me.
In Context
59Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa. 2 Tetea shauri langu! 1
61Ee Bwana, umesikia matukano yao, 2 mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: 1
Cross References
Jeremiah 11:19Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni; mimi sikutambua kwamba walikuwa wamefanya shauri baya dhidi yangu, wakisema, 1 “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; 2 nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, 2 ili jina lake lisikumbukwe tena.” 1
Lamentations 3:59Umeona, Ee Bwana, ubaya niliotendewa. 2 Tetea shauri langu! 1