Maombolezo 3:61
Ee Bwana, umesikia matukano yao, 2 mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast heard their reproach, O LORD, and all their imaginations against me;
In Context
60Umeona kina cha kisasi chao, 2 mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. 1
62kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia 2 dhidi yangu mchana kutwa. 1
Cross References
Psalms 89:50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa, 2 jinsi ninavyovumilia moyoni mwangu dhihaka za mataifa yote, 1
Lamentations 3:30Na atoe shavu lake kwa yule ampigaye, 2 na ajazwe na aibu. 1
Zephaniah 2:8“Nimeyasikia matukano ya Moabu 2 nazo dhihaka za Waamoni, 1 ambao waliwatukana watu wangu 2 na kutoa vitisho dhidi ya nchi yao. 1