Maombolezo 3:63
Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, 2 wananidhihaki katika nyimbo zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold their sitting down, and their rising up; I am their musick.
In Context
62kile adui zangu wanachonongʼona na kunungʼunikia 2 dhidi yangu mchana kutwa. 1
64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, 2 kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 1
Cross References
Job 30:9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; 2 nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 1
Psalms 139:2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; 2 unatambua mawazo yangu tokea mbali. 1